YANGA INAMTAKA | TAZAMA UFUNDI WA DICKSON AMBUNDO | YANGA Kukamilisha usajili wake....??

SIMBA VS MTIBWA: Simba SC imetoa kichapo cha mabao 5-0 kwa Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Magoli ya Simba yamefungwa na Clatous Chama, Rally Bwalya, Luis Miquissone na Medie Kagere aliyefunga magoli mawili. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz