AJALI Mbaya ILIVYOUA Leo DODOMA, MASHUHUDA Wasimulia - "DEREVA WA LORI AKIMBIA"

#millardayoUPDATES Watu 59 waliokuwa wakisafiri kutoka Jijini Mwanza kwenda Mbeya wamenusurika na kifo mara baada ya basi walilokuwa wakisafiria Premier lenye namba za usajili T, 629 AET, linalofanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Mbeya kupata ajali katika kijiji cha Ngaganulwa wilayani Shinyanga na kusababisha majeruhi Saba. kamanda wa Polisi ACP Debora Magiligimba amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo