🔴#LIVE: MANARA ATEMA NYONGO SIMBA, YANGA YATUA KIGOMA KIBABE | KROSI DONGO

DC MCHOPANGA ASHIRIKI NA WANANCHI EID AL ADHA MSIKITI WA UTEGI RORYA. Juma Chikoka Mchopanga "Nimeona nijumuike na ndugu zangu wa Rorya katika kuazimisha sikukuu hii ya EID AL ADHA pia kumshukuru mungu kwa niaba ya waislamu wote waliopo Rorya na Tanzania kwa ujumla".Pia amewataka wananchi wa wilayani humo kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa hatari wa COVID-19 ambao tayari Rais Samia Suluhu Hasani amtoa taarifa kuwepo kwa ugonjwa huo. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY: http://shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline