INASIKITISHA! ANAYEDAI Kuwa MTOTO wa MZEE YUSUF Afiwa na MENEJA WAKE, "Aligongwa na LORI"...

INASIKITISHA! ANAYEDAI Kuwa MTOTO wa MZEE YUSUF Afiwa na MENEJA WAKE, "Aligongwa na LORI"... Siku chache baada ya kijana mdogo, Hamad Hassan Mashauri mkazi wa Charambe Magengeni jijini Dar es Salaam kuibuka na kudai kwamba yeye ni mtoto wa mkongwe wa muziki wa Taarab nchini, Mzee Yussuf almaarufu Mfalme kisha msanii huyo kumkana, kijana huyo amepata pigo lingine. Hamad ambaye pia ni msanii wa muziki wa singeli anayechipukia, amepata pigo hilo baada ya mtu aliyekuwa akimsimamia katika shughuli zake za muziki, Ramadhan Omary Chikawe, kufariki dunia kwa kugongwa na lori akiwa anaendesha pikipiki, tukio lililotokea Mkuranga mkoani Pwani. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline