KWA KAULI HII SIMBA NA YANGA ZIMSAHAU TU PRINCE DUBE

Afisa habari wa Simba SC Haji Manara leo ameongea na waandishi wa habari kuhusiana na kauli ya wakala wa Meddie Kagere ambayo ameitoa hivi karibuni baada ya Simba kutolewa na Kaizer Chiefs.