Charles Makongoro Nyerere awavunja mbavu viongozi kwenye mkutano wa makabidhiano ya ofisi

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Charles Makongoro Nyerere amesema alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha mwaka 1995 kwa uwezo wake na siyo kubebwa kwa sababu ni mtoto wa Baba wa Taifa. Makongoro ameyasema hayo leo Mei 25 mjini Babati kwenye makabidhiano ya ya ofisi na Joseph Mkirikiti ambaye amehamishiwa Mkoa wa Rukwa