MOYO WANGU-Kwaya ya Bikira Maria mama wa Mungu -BMM-Yombo Vituka-DSM (Official Gospel Video HD)-tp

Wimbo huu ni moja ya nyimbo zilizopo katika Tolea la TANO la Kwaya ya Bikira Maria mama wa Mungu -BMM-Yombo Vituka-DSM. Toleo hili la 5 ni toleo maalumu lenye mkusanyiko wa nyimbo za Kwaresma/maombolezo/toba. Composer & Organist: Steven Limila Audio: Salvatorian Catholic Studio Video: Tanganyika productions Video imeongozwa na Dir. Laurent Ludovick, Paschal Kabonge & Fortune Shimanyi.