IMANI hufanya KAZI kwa UPENDO!

"Hizi ndizo amri na hukumu mtakazotunza kuzifanya katika nchi aliyokupa Bwana, Mungu wa baba zako, uimiliki, siku zote mtakazoishi juu ya nchi. Vunjeni kabisa mahali pote walipokuwa wakiitumikia miungu yao mataifa mtakayoyamiliki, juu ya milima mirefu, na juu ya vilima, na chini ya kila mti wenye majani mabichi; nanyi zivunjeni madhabahu zao, zibomoeni nguzo zao, na maashera yao yateketezeni kwa moto, na sanamu za kuchonga za miungu yao zikateni; na jina lao lifutilieni mbali na mahali hapo. Wala msimfanyie hivyo Bwana, Mungu wenu." Kumbukumbu la Torati 12:1-4 Welcome to all our Online Family who are joining us from around the world. This is your Home and Altar. We are praying for you. Every blessing declared on this Altar is YOURS. GOD BLESS YOU. Share Your Testimony through WhatsApp Video on +255 673 117 117 CONTACT US: E-mail: info@wrm.or.tz #chief_prophet_suguye #wrmtv #startimes_119 #Azam_decoder_other_channel_007 Wasiliana nasi kupitia +255 (0) 655 448 116 au +255 (0) 688 448 117 Usisahau! Share, Like, Comment, na Subscribe video zetu ili uwe wa kwanza kupata mafundisho ya Chief Prophet Nicolaus Suguye. We are receiving your prayer requests. Chief Prophet Suguye will pray for you. Every blessing declared on this Altar is YOURS. God bless you!